Skip navigation links
rentalcars
 Swahili
  Uhifadhi wangu
Funga
Je, umesahau rejeleo lako la uhifadhi?

Ingiza anwani yako ya barua pepe na tutakutumia nambari yako ya rejeleo kwa anwani hii.

Barua pepe imetumwa.

Umetumiwa rejeleo lako la uhifadhi kwa barua pepe.

Nambari ya rejeleo haikupatikana

Hatujaweza kupata uhifadhi wa sasa kwa kutumia anwani hii ya barua pepe. Tafadhali Wasiliana Nasi kwa kutumia kiungo hiki

Ingiza tena anwani ya barua pepe.

Ukodishaji wa magari ya uwanja wa ndege

Tafuta, linganisha na uokoe hela kwa kupangisha magari ya uwanja wa ndege kote duniani

Tafuta magari ya kukodisha

Choose your pickup location

Kurejesha

Choose your drop off location
Tarehe ya kuchukua gari:
Saa:
Tarehe ya kurejesha gari:
Saa:
Je, dereva ana umri kati ya miaka 25 na 70?
Form submission
  • Hakuna ada za kadi ya mikopo
  • Hakuna ada za mabadiliko
  • Uhakika wa bei nafuu

Safiri ndani kwa ndege na utoke kwa gari

Ni njia ipi bora iliyopo ya kusafiri kutoka uwanja wa ndege hadi unakoenda? Ukodishaji wa magari ya uwanja wa ndege unaboresha safari yako: tua kutoka kwenye ndege, ingia garini na usafiri. Mwishoni mwa upangishaji wako, hakuna haja ya kuendelea kutumia ratiba na usafiri wa umma unapoweza kupakia mikoba yako na kusafiri kwenye uwanja wa ndege inapokufaa.

Na kwa kuwa tunafanya kazi na kampuni zote kubwa za kukodisha magari, tunaweza kukuokolea hela na pia muda. Tuambie tu eneo na wakati utakaposafiri kwa ndege na kisha uchukue gari unalotaka kutoka kwenye kampuni unayoamini.

Viwanja maarufu vya ndege

Kila mwaka, tunaokoa hela nyingi sana za wateja kwa ukodishaji wa magari ya uwanja wa ndege, kwa hivyo popote unapoenda, tunaweza kukupa gari zuri kwa bei bora. Nyanja chache za ndege tunazoweza kukupa bei nzuri kutoka kwa kampuni kubwa kama vile Hertz, Avis, Alamo na Enterprise:

Ukodishaji wa magari ya uwanja wa ndege: vidokezo bora kwa upangishaji rahisi

1: Chukua kiti cha mtoto wako
Kwa nini ukodishe kiti cha mtoto ilhali mashirika mengi ya ndege yanakuruhusu kumiliki chako bila malipo? Mbali na kuokoa hela, utakuwa na kiti ambacho mtoto wako anakijua na kukipenda, na kuwa unajua kuweka sawa.

2: Chagua eneo lako la kuchukulia gari
Kituoni, nje ya kituo, kutana na kusalimiana… kuna aina tofauti za kuchukulia gari za uwanja wa ndege zinazofaa bajeti tofauti na vipaumbele tofauti. Weka miadi nasi na utajua unachokipata kabla hujaamua.

3: Weka miadi mapema
Kurekebisha au kughairi ni kwa haraka, rahisi na kwa kawaida bila malipo. Kwa hivyo ukiona toleo bora, liwekee miadi! Ukibadilisha nia baadaye, au uone toleo bora zaidi kwenye tovuti yetu, tuambie.

Umeshindwa kuchagua kampuni ya kukodisha magari?

Kukodisha gari kwenye uwanja wa ndege hakuhusu tu kuchagua gari la bei nafuu. Hiyo ndiyo sababu tunamwomba kila mmoja anayekodisha gari kupitia kwetu kukadiria kampuni yake ya kukodisha magari, na kuzipa alama kati ya 10 katika kategoria saba muhimu. Jiangalilie na utambue ni nani anayevutia sana kwenye uwanja wa ndege unaoenda…