Kama huduma kubwa zaidi duniani ya kukodoisha magari, tunaweza kumshinda yeyote kwa bei. Tunafanya kazi na kila kampuni kubwa ya kukodisha magari duniani, kujadiliana bei zinazofaa ambazo zinapatikana tu kwa wateja wa Rentalcars.com.

Ni rahisi. Kampuni tunazofanya kazi nazo hutupa bei za chini kwa sababu tunapanga upangishaji mwingi sana. Tunaposhughulikia gharama zetu, bado tunaweza kuhakikisha kuwa unaokoa hela zako.

Lakini wakati mwingine (nadra sana) mtu hutoa bei nzuri – na hapo ndipo unapoingilia. Iwapo umepata matoleo ya kulinganisha kwa bei ya chini, tungependa kujua!

Tuambie nani, nini, wapi na wakati gani; tuambie kiwango anachotoa tutakishinda.

 
Wapi & Lini
Kuchukua gari*
*inahitajika
Kuhusu gari
*inahitajika
Maelezo ya washindani
Mbinu ya uhifadhi*
*inahitajika
Maelezo yako
Iwapo umeweka miadi nasi tayari, au tumekutumia nukuu, tafadhali jaza nambari yako ya kumbukumbu ya miadi
Je, tuwasiliane nawe kwa njia gani?*
*inahitajika
Sheria na Masharti

Uhakika wa Ufuatiliaji Bei hutumika kwenye bei za ukodishaji zinazolipwa kabla zinazotolewa kwenye ukodishaji wa magari yanayofanana kutoka kwa makampuni mengine ya ukodishaji wa magari yanaojitegemea nchini Uingereza kwa kutumia watoa huduma wanaofanana. Haitumiki kwa magari yaliyo na hali ya "kwa-maombi" katika Rentalcars.com au kampuni ambayo tunalinganishwa nayo. Inatumika kabla au baada ya kufanya uhifadhi hadi tarehe ya kuanza kwa ukodishaji, na haitumiki kwa ofa za matangazo. Rentalcars.com itahitaji kuthibitisha sheria na masharti ya ofa mbadala. Mara tu bei, sheria na masharti ya watoa huduma yakapothibitishwa, mhudumu wa timu yetu atawasiliana nawe akupe taarifa ya mchanganuo wa gharama yako. Ni muhimu kukumbuka kuwa sera ya mambo yanayofanana husimamia bidhaa na huduma. Kwa mfano ikiwa bei nyingine ni ya ukodishaji nje ya kiwanja cha ndege ilhali bei ya Rentalcars.com ni ya ukodishaji kwenye kiwanja cha ndege, hii haitachukuliwa kama mambo yanayofanana. Tafadhali kumbuka kuwa maombi ya Ufuatiliaji wa Bei hushughulikiwa kati ya saa 0800 na 1700, Jumatatu hadi Ijumaa, ingawa maombi yanaweza kuwasilishwa wakati wowote kupitia fomu ya Ufuatiliaji Bei kwenye tovuti.